Mi2pikoClaxxxic

Mi2pikoClassic

Monday, February 21, 2011

Update: 5 Songs From Jadakiss' I Love You Mixtape

During some down-time at Maino's "We Keep It Rockin" music video, fellow rapper Jadakiss took time to speak with POWTV about his upcoming two mixtape projects. Jadakiss says that fans will hear music from the first project, "I Love You" (which he says is “the appreciation for the fans, for the ladies“) this NBA All-Star weekend.

Jadakiss says that the full "I Love You" mixtape should be released in about two weeks while his second project, "Top 5 Dead Or Alive," should become available in late May or June. Watch the interview below.

Jadakiss - Hold U Down
Jadakiss - Lil Bruh (No Tags)
Jadakiss - Trading Plaeses
jadakiss - What It Is
                                            Jadakiss - Miss You

Rick Ross Signs Maybach To Warner Brothers

Rick Ross wasn't interested in JUST signing his new Maybach Music label to another rapper, rather the Florida rapper wanted to becme his own Boss. The Triple C's leader ended up signing with the Warner Brithers Music Group.

Its official!!!!!! @maybachmusicgrp has partnered with Warner Bros!!!!!!!!!!!s/o Lyor Cohen..Tod..Joey I.e..dallas..and mybrother GucciPucci
less than a minute ago via Seesmic for Android
TEFLON DON
rickyrozay (Twitter)
     With there still stome ties between Rick Ross and Def Jam Records, there isn't word on whether or not any future projects would include the Def Jam label, only tie will tell.

AY KUFANYA SHOW MACHI 4 BANGALORE INDIA .

Thursday, February 17, 2011

255 BLACK AND YELLOW PARTY

Mlipuko Wa Mabomu Katika Ghala La Jeshi Gongo La Mboto-Tanzania

Kizaazaa cha mlipuko wa Mabomu Kambi ya Jeshi Gongo la mboto

Majeruhi akifikishwa hospitali ya Amana usiku huu baada ya kukumbana milipuko ya mabomu kambi ya jeshi Gongo la Mboto jijini Dar usiku huu. Bado haijulikani wangapi wameumia ama kupoteza maisha katika milipuko hiyo iliyotokea kwenye ghala ya silaha za jeshi huko Gongo la Mboto na kusikika kila sehemu ya jiji
 
Daktari hospitali ya Amana akimhudumia mmoja wa majeruhi wengi walioletwa hospitalini hapo
Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana
Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana
Kwa Habari Zaidi Tembelea Tovuti ya http://www.issamichuzi.blogspot.com/

Thursday, February 10, 2011

2nite M Band at Buddha Blue

Fans of Grace Matata Come have fun with the M Band, me and Ben paul tonight at Buddha Blue! 5000 tsh only for great music and friends.


THE MAKING OF MECHI ZA UGENINI 'ROMA'

 Jumamosi ya juzi mtu mzima Roma alikuwa akifanya video yake mpya inayokwenda kwa jina la Mechi Za Ugenini ambayo ndani ya wimbo huo kamshirikisha swahiba yake Jose Mtambo. Video hiyo ilikuwa ikitengenezwa na kampuni ya Show Biz Defined, wimbo huu ni wa mda kidogo lakini Roma ameona usipotee hivi hivi ngoja akigongee kideo. Location hii ya kwanza ilikuwa maeneo ya Mbezi Beach na nyingine ilikuwa sehemu tofauti tofauti jijini Dar.

                                             4rm http://www.bongostarlink.com

Mo Racka Aja na MO PLayStATion

Msanii mwenye swagga zakutosha kuanzia kwenye kuimba, kuvaa, kwenye matangazo Mo Racka, Mo ameamua kuja na kitu kinachoitwa Mo Playstation 3 ambacho kinawakusanya wale wote wapenda Game's ya mpira. Mo amesema anatafuta vijana wanaojua kucheza game ya mpira Fifa 2010 alafu atawashindanisha na mshindi ataondoka na zawadi nzuri tu ila nimapema kuisema now.

Mbali na hiyo Mo Racka yuko mbioni kutoka wimbo wake mwingine akiwa amemshirikisha msanii Belle 9 na nilipomuuliza wimbo huo biti imetengenezwa na nani akanijibu ni kutoka kwa Producer Pancho Latino 'Bhits'

Hii ndio Game ambayo watakuwa wakiicheza kwa wale ambao watataka kuja kucheza, lini na wapi stay tune hapa hapa.

Monday, February 7, 2011

Thursday, February 3, 2011

Dj Choka Avamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo

Anajulikana ka Dj Choka ni Dj ambae ameshawahi kufanya kazi na wasanii kibao na pia ni mmiliki wa mtandao unaojulikana kama Bongostarlink.com akiwa home kwao usiku wa kuamkia leo walivamiwa na majambazi kama 30 ambao walikua wanania ya kuiba gari na kupora mali za super market yao lakini tukio zima halikuwezekana pale baada ya dingi yake na Dj Choka alipotoka nachombo cha moto na kupiga hewani kitendo kilichofanya majambazi hao kuingia uoga na kutoka nduki....

Wednesday, February 2, 2011

From 20:00 - 22:00 THE JUMP OFF 100.5 TIMES RADIO FM

....Don't Miss the show DJ K.U Atakupigia ngoma zote kali.... TIMES FM 100.5 Kiafrika zaidi

Jux Vuitton Release his new Video (Napata Raha)

Men can define fashion through their own style and trends! trust me i was stuck in these pictures... its all about clean fashion!! no Makolo kolo kama tulivyozoea kwa mastaa wetu wa bongo... mtupiko wa jinsi with those black butts.. nikimuita Trey songs wa bongo nakosea??
So fresh so clean...
Tathimini thamani ya mtupiko hapo juu? how much????? naogopa hata kuzungumza... i think i need interviw with this dudes!! maduka gani haya? its all About jux...with his good friend Rey... kwanza ile video yake mpya umeitia machozi? swagger humo ndani? watanzania wamejipanga kwa mwaka huu... many blessing to Eryne Epidu maana kazi aliyoifanya katika hii video ni balaaa!!

From.mvutokwanza.blogspot.com


Crunk Wear

Crunk Wear

Crunk Wear