Anakwenda Kwa jina la Emmaculate Mashindike, Huyu mdada me namkubali sana kwa kutupia aisee ukisema ni wakinanani wanaongoza kwa kutupia Hapa Mjini Nae yumo humkosi amezaliwa miaka ya 80, elimu ya secondary amemalizia St. Merrys na kwa sasa anasoma chuo cha mafunzo ya biashara cha CBE DSM
Hapo ilikua Pande za Posta karibu na Chuo cha CBE
Hapo anaRefresh mind kimtindo mana dah anakwambia Kitabu tyt...