Mi2pikoClaxxxic

Mi2pikoClassic

Thursday, February 3, 2011

Dj Choka Avamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo

Anajulikana ka Dj Choka ni Dj ambae ameshawahi kufanya kazi na wasanii kibao na pia ni mmiliki wa mtandao unaojulikana kama Bongostarlink.com akiwa home kwao usiku wa kuamkia leo walivamiwa na majambazi kama 30 ambao walikua wanania ya kuiba gari na kupora mali za super market yao lakini tukio zima halikuwezekana pale baada ya dingi yake na Dj Choka alipotoka nachombo cha moto na kupiga hewani kitendo kilichofanya majambazi hao kuingia uoga na kutoka nduki....

No comments:

Post a Comment

Crunk Wear

Crunk Wear

Crunk Wear