Jumamosi ya juzi mtu mzima Roma alikuwa akifanya video yake mpya inayokwenda kwa jina la Mechi Za Ugenini ambayo ndani ya wimbo huo kamshirikisha swahiba yake Jose Mtambo. Video hiyo ilikuwa ikitengenezwa na kampuni ya Show Biz Defined, wimbo huu ni wa mda kidogo lakini Roma ameona usipotee hivi hivi ngoja akigongee kideo. Location hii ya kwanza ilikuwa maeneo ya Mbezi Beach na nyingine ilikuwa sehemu tofauti tofauti jijini Dar.
No comments:
Post a Comment