Kizaazaa cha mlipuko wa Mabomu Kambi ya Jeshi Gongo la mboto

Majeruhi akifikishwa hospitali ya Amana usiku huu baada ya kukumbana milipuko ya mabomu kambi ya jeshi Gongo la Mboto jijini Dar usiku huu. Bado haijulikani wangapi wameumia ama kupoteza maisha katika milipuko hiyo iliyotokea kwenye ghala ya silaha za jeshi huko Gongo la Mboto na kusikika kila sehemu ya jiji

Daktari hospitali ya Amana akimhudumia mmoja wa majeruhi wengi walioletwa hospitalini hapo
Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana

Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana
No comments:
Post a Comment