Mi2pikoClaxxxic

Mi2pikoClassic

Thursday, February 17, 2011

Mlipuko Wa Mabomu Katika Ghala La Jeshi Gongo La Mboto-Tanzania

Kizaazaa cha mlipuko wa Mabomu Kambi ya Jeshi Gongo la mboto

Majeruhi akifikishwa hospitali ya Amana usiku huu baada ya kukumbana milipuko ya mabomu kambi ya jeshi Gongo la Mboto jijini Dar usiku huu. Bado haijulikani wangapi wameumia ama kupoteza maisha katika milipuko hiyo iliyotokea kwenye ghala ya silaha za jeshi huko Gongo la Mboto na kusikika kila sehemu ya jiji
 
Daktari hospitali ya Amana akimhudumia mmoja wa majeruhi wengi walioletwa hospitalini hapo
Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana
Mmoja wa majeruhi akipata huduma hospitali ya Amana
Kwa Habari Zaidi Tembelea Tovuti ya http://www.issamichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Crunk Wear

Crunk Wear

Crunk Wear