Mi2pikoClaxxxic

Mi2pikoClassic

Thursday, February 10, 2011

Mo Racka Aja na MO PLayStATion

Msanii mwenye swagga zakutosha kuanzia kwenye kuimba, kuvaa, kwenye matangazo Mo Racka, Mo ameamua kuja na kitu kinachoitwa Mo Playstation 3 ambacho kinawakusanya wale wote wapenda Game's ya mpira. Mo amesema anatafuta vijana wanaojua kucheza game ya mpira Fifa 2010 alafu atawashindanisha na mshindi ataondoka na zawadi nzuri tu ila nimapema kuisema now.

Mbali na hiyo Mo Racka yuko mbioni kutoka wimbo wake mwingine akiwa amemshirikisha msanii Belle 9 na nilipomuuliza wimbo huo biti imetengenezwa na nani akanijibu ni kutoka kwa Producer Pancho Latino 'Bhits'

Hii ndio Game ambayo watakuwa wakiicheza kwa wale ambao watataka kuja kucheza, lini na wapi stay tune hapa hapa.

No comments:

Post a Comment

Crunk Wear

Crunk Wear

Crunk Wear