Mi2pikoClaxxxic

Mi2pikoClassic

Thursday, September 9, 2010

GODZILA SASA NI GODZILA INC

 
baada ya kupiga show za kutosha na kuingiza mkwanja mrefu, sasa Godzila ameamua kuanzisha lebo yake inayoitwa Godzila Inc na anakaribisha wasanii wenye uwezo.Godzila anaefanya vizuri anga za hiphop amesema sasa hivi anakuja dizain kama Drake yaani kibongo kama makamua.

No comments:

Post a Comment

Crunk Wear

Crunk Wear

Crunk Wear