Mi2pikoClaxxxic
Mi2pikoClassic
Friday, September 10, 2010
Nick Maujanja Msanii Aliejitolea Kusimamia Ujenzi wa Daraja La TANDALE - MANZESE
Nick Maujanja Anaewakilisha Dar Reality Projectz Ndie Msimamizi Wa Ujenzi wa Daraja La Tandale Mtaa Wa Yemen Amesema kwamba Angefurahi zaidi Kama WASANII na WATU WENGINE Ambao wangependa Kuwapa Moyo MAFUNDI na VIBARUA wanaohusika Na Ujenzi Huo Kwa Maana Wanahitaji Courage. Kwa maana Mtoo Ulikua ni Mchafu na umehitaji Usafi na sasa Tupo Kwenye Stage ya Msingi wa Daraja Hilo Ambalo Litakua na Uwezo wa Kupitisha Waenda Kwa Miguu Na Bajaji. Daraja Hilo Limefadhiliwa na JEAN MARK FALCONAIT na WAJUMBE wenzie wa USWIZI. Wakiwakilishwa na DAR REALITY PROJECTZ Hapa Dar es Salaam. Tusisahau Kwamba NICK MAUJANJA Aliemaliza CHUO KIKUU CHA ARDHI Mwaka huu Na Shahada ya USANIFU MAJENGO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment