Leo Asherehekea sikukuu yake yakuzaliwa na mwanadada Fatma...hapa ni usiku wa leo pale Mzalendo Pub walikuwa wanalishana keki.
Mansu-li akilishwa keki
Izzo Biznes akilishwa keki...
Ndugu Duke akilishwa keki..
Sunday naye alikuwa ndani ya nyumba
Vijana hawa wamezaliwa tarehe moja yaani tarehe 19 mwezi wa 9 imetofautiana miaka tu, na usiku wa leo walikutana na kuinza sherehe ya kuzaliwa kwao pale Mzalendo Pub kwenye Fleva Night. Ni Fatma na Dj Choka
Dada huyu nae wamezaliwa nae tarehe moja ya leo tarehe 19 mwezi wa 9...
Dj Choka & Dj Bonny
Hapa walipewa zawadi ya chupa ya Wine kutoka OVERMEER
No comments:
Post a Comment