Tarehe 31 mwezi wa nane ilikuwa ni siku mbaya kwa msanii cyril baada ya wazazi wake kupata ajali mbaya maeneo ya mlimani city wakiwa wanatoka harusini.gari hilo ambalo ni daladala walilokuwa wamelikodisha ilikuwa na familia yake akiwepo baba, mama, kaka, wadogo zake pamoja na wajomba zake, na kuwaacha na maumivu makubwa baba akiwa amevunjika miguu yote miwili, mama amevunjika mfupa wa kiuno (anasubiri operation) na wengine wakiwa na majeraha.
No comments:
Post a Comment